Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Yaani iko hivi kwa Greenwhich meridian Time (GMT) ni saa 8 mchana huu, Indian standard Time (IST) ndio saa 7:30PM inamaana kwetu EAT ni saa 11:00 jioni

b'se tumeizidi GMT masaa 3 na IST wametuzidi Masaa mawili na nusu

Labda kama kuna changes
Thanx.... understood
 
Mubasharaaa World Cup

2010 βœ… nilikuwa mubashara nyumbani enzi za sekondari.. lilinitokaga chozi baada ya Asamoah Gyan kuvuruga πŸ₯²

2014 sikuwa mubasharaaa

2018 nilikuwa mubashara chuo

2022 niko mubasharaa ghetoo 🀸
Depal kumbe kwenye game kitambo eeh..
Unashabikia timu gani kwanza
 
Nilkuambia mkuu, mashabiki wengi wa Simba ni mbumbumbu
Mbona mnaharibu uzi? sasa mambo ya utopolo na makolo humu ya nini?

Mbona na nyie mlisema kikosi chenu mmesajili kama mnaenda kucheza world cup? Au tuwaite hamna akili? Hebu acheni usimba na uyanga humu. Umeleta uzi mzuri stick to that
 
Mungu simama na senegal tutashindwa kusema kuna magwiji walitokea africa ilihal hawajawah kuchukua kombe la dunia. I stand with Africa in this champions
 
Mbona mnaharibu uzi?.sasa mambo ya utopolo na makolo humu ya nini? Mbona na nyie mlisema kikosi chenu mmesajili kama mnaenda kucheza world cup? Au tuwaite hamna akili? Hebu acheni usimba na uyanga humu. Umeleta uzi mzuri stick to that...
Mimi ni Simba wala sio Yanga! Afu kitu kikiwa hakikuhusu usipende kukijadili mkuu
 
Watoto wa kike wako πŸ‡§πŸ‡· sababu ya kuangalia tu hao cute boys 🀣🀣🀣


Cc Kalpana
Yani toka elfu mbili na ushee nashabikia brazil enzi hizo kina kaka, kina Rivaldo, kina Roberto carlos, kina ronaldinho, kina wengii kwa kipindi tofauti tofauti.

Ronaldo de Lima alikua na sura personal lakini tulikuwepoo. πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…