Mtu wa Tanga ww eeh?Nyie namitamani sana muingie kwenye anga zangu haha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji1054][emoji1054][emoji1054]Neymar kiboko yetu wadada[emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23]Mabishoo tunaingia sasa nyie wazee vikongwe kaeni pemben muone pira samba pira Brazilian hair,pira amazon,pira sex [emoji1054][emoji1054][emoji1054]View attachment 2426558
Bruh maneno mengine kwenye kuandika uwe unayamalizia tu 😆 maana nimetoka macho kama ronadoYeah kund bado lipo wazi.
Una roho ngumTeam Serbia
Usiseme bataUmerudi Mr. Goose...bata wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji174]Bruh maneno mengine kwenye kuandika uwe unayamalizia tu [emoji38] maana nimetoka macho kama ronado
Sorry mkuu,wewe ndo mireni wa frate na mshindi na eriki?Hongera kwa Ghana,wamefungwa lakini [emoji91] wameupeka kisawa sawa
Nimeanza kusoma heeeeee nilikuwa nakula nimepaliwa 😆[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji174]
IN SHAA ALLAAHHaya kila la heri huu ni mpira bana any team can score and win.... niombee tuu Brazil ishinde leo nisipate heart attack
Daaaah ndo vile tena sisi wa Taifa teule ngoja tusikilize kwny redio..eti wanatangaza kwa redio TBC taifa [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kombe gani Ata wavaa vipuri wanataka kombe vichezaji vyenu vitoto tupuHaya, baada ya nusu saa wenye kombe lao wataingia uwanjani