Hongera, tactical master, zee la kuswitchMungu hawezi kuwa wakwako peke yako
Mpira upigwe mwenye haki ya kushinda ashinde, hao kina Neymar nao ni kama ustaa umewazidi wameanza kujisahau
Hivi nilikuambia kuwa nami pia nashabikia Brazil?
Miongoni mwa timu zangu, Brazil ipo ila mimi nachotaka ni kuchukua komnlbe
So Brazil kama nawaona wananichelewesha lazima ni switch
Amelewa Icecream π πMtani, huyu Amina fake ana shida mahala fulani si bure π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Hawa wako serious sana na kazi yao they deserve to charge us 56kBaba kitu dstv tena supper sport 222
Hawa si ndo wanaonesha ki2 clear
Na washarudisha sasaEe tanesco naomba umeme ukatike kwa wale wote wanaoharibu huu uzi kwa lugha za ajabu...
Umeme ukatike kwao kila mechi inapoanza hadi kombe la dunia liishe
πππ
Uliwaona wacanada Jana?Urugwayi ni tia maji tia maji na mbambamba nyingi toka washinde world cup ya kwanza hujiona ni gwiji wa soka!
Hahahaha ombi limekataliwa basiiNa washarudisha sasa
Hawa TANESCO ni team Brazil
Leteni update watu tushajifungia ndani saiziVichezaji vya Brazil vilaini laini vikiguswa tu kidogo vinakaa chini
Enonga styleWachapwe tu...View attachment 2426715
Naam naamEnonga style
Tena si Ice cream ya chocolate, huyu kalewa ileee ya Vanilla...πππAmelewa Icecream π π
Imeonekana mkuu au huko tibisiii bado goli halijafika?Attempts zimekuwa nyingi ila outcome yake ndio kichekesho