Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mungu hawezi kuwa wakwako peke yako

Mpira upigwe mwenye haki ya kushinda ashinde, hao kina Neymar nao ni kama ustaa umewazidi wameanza kujisahau

Hivi nilikuambia kuwa nami pia nashabikia Brazil?

Miongoni mwa timu zangu, Brazil ipo ila mimi nachotaka ni kuchukua komnlbe

So Brazil kama nawaona wananichelewesha lazima ni switch
Hongera, tactical master, zee la kuswitch
 
Ee tanesco naomba umeme ukatike kwa wale wote wanaoharibu huu uzi kwa lugha za ajabu...
Umeme ukatike kwao kila mechi inapoanza hadi kombe la dunia liishe
🙏🙏🙏
Na washarudisha sasa

Hawa TANESCO ni team Brazil
 
Brazil atachapika watu hamtaamini

Wachapwe tu...
e3863d3521422b56701bfd1c654916d6.gif
 
Back
Top Bottom