🤣🤣🤣🤣🤣Imeonekana mkuu au huko tibisiii bado goli halijafika?
Sawa bestUtamaliza majina yote rafiki angu daaah nimecheka sana🙂[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Tusijisahau sana hata Argentina alianza hivi hiviImeonekana mkuu au huko tibisiii bado goli halijafika?
Si unajua hadi kamati kuu ya ccm ilipitishe ndipo likubalike maana goli linatokea kwa makaburu?🤣🤣🤣🤣🤣
TBC hawana maana walah!! Unasikia watu wanashangilia goli kwa TBC linakuja dakika 5 baadae.
Hii mechi hairushwi TBCWenzetu mnaotazama kwa kupitia tibisii goli limefika au bado liko njiani? Au mmeona kona?
Hi kitu nmeisema Sana humu,Neymar anawachelewesha Sana wenzake angepigwa shot akatoka nje ingekuwa vizur Sana maana najua kocha Hana ubavu wa kumtoa.
Amina, Embu sogeza mitako yako huku, Kuna kitu natamani kukishikaBrazil mkishinda niitea amina mitako[emoji846]
[emoji38][emoji38]Amina, Embu sogeza mitako yako huku, Kuna kitu natamani kukishika
KumbeeHii mechi hairushwi TBC
Anazingua Sana yaani pale Vinicius asingeingilia Kati kwa kupiga shuti Neymar nahis alikuwa anawaza aguswe aanguke chini kutafuta penaltyHi kitu nmeisema Sana humu,
Bwana mdg anazingua mno
Brazil wanashinda bwanaTusijisahau sana hata Argentina alianza hivi hivi
View attachment 2426718
Liverpool wana habari yake UEFAHuyu cheusii wa Brazil anajituma hataree