United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Umeangalia mpira wa jana au unapewa stori za kweny vijiwe umeona kazi aliyefanya Neymar jana ao viungo wakabaji na beki za Serbia kutoka Kwa Neymar kwao ilikua sherehere kama Neymar angecheza dakika zote 90 Kuna mchezaji wa Serbia alikua anakula umemeHata PSG fainal UEFA kawakosesha ubingwa kwa utoto wake na hata mechi ya UEFA iliyopita waliyotolewa na Real Madrid akimleta utoto sana langoni na kuchelewesha mashambulizi mpaka kutolewa.
Washamba na akili zao moja unajuwa wabongo wakikalilishwaMim mwenyewe watu nawashangaa Neymar ndio uchezaji wake sjui wameanza kumuona Leo Ata akiwa Santos na Barcelona alikua anakaa na mpira mguuni na Neymar mpira mguuni mwake hakuna wakumnyanga labda upige kiatu tu jana kafanya kazi yakupnguza ngome kutokea katika ya uwanja hadi wachezaji wawili walipigwa kadi za njano ila nashangaa watu wanakwambia Neymar kacheza vibaya
Amina naomba msambwanda kwa buku jeroHeshima kitu cha bure brother
WamejitahidiView attachment 2426902
TBC wataonyesha hizi tu
amina tukunyemaBrazil mkishinda niitea amina mitako[emoji846]
Tatizo nyotaMim mwenyewe watu nawashangaa Neymar ndio uchezaji wake sjui wameanza kumuona Leo Ata akiwa Santos na Barcelona alikua anakaa na mpira mguuni na Neymar mpira mguuni mwake hakuna wakumnyanga labda upige kiatu tu jana kafanya kazi yakupnguza ngome kutokea katika ya uwanja hadi wachezaji wawili walipigwa kadi za njano ila nashangaa watu wanakwambia Neymar kacheza vibaya
Nyota gani Neymar ndio mchezaji watatu mwenyewe followers wengi kweny mitandao ya kijamii, Neymar ndio mchezaji anayeongoza Kwa kupendwa Brazil,Neymar ndio mchezaji watatu Kwa umarufu Duniani Neymar Ndio mchezaji anayeongoza Kwa kupendwa na dada zenu unazungumzia Nyota GaniTatizo nyota
Sasa tunaingia round ya 2, wale wa kubeti bora msibeti. Kuna timu zitakaza balaa hamtoamini.
Timu zenye uhakika wa kushinda leo ni
UK
Ecuador
Goli zuri sana hadi sasa, ngoja tuone kama mengine yatalizidi uboraMabingwa Brazil wamefunga na goal of the tournament [emoji1054]
Dahamina tukunyema
NakuheshimuAmina naomba msambwanda kwa buku jero
Nakuheshimu
Ila huyo huyo Neymar unayemchukia ndie atakayevunja rekodi ya Pele kwa wingi wa magoli kwa nchi yakeTatizo lá timu ya Brazil ni Naymar ndiye mharibifu wa timu.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app