Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hiki kibabu sijui huwa kina mabawa..View attachment 2427117
Umaarufu tu unambeba, unataka kusema amesafiri hewani kama huyu?
IMG_20221125_053841.jpg
 
Magoli yote matatu ya Portugal yalikuwa offside (angalau goli la Joao Felix linaweza kuwa na debate , lakini goli la Raphael Leao iko wazi ni offside, ebu angali hizi picha na refa hakutaka hata kutumia VAR. Tutaendelea kuchezewa michezo ya kitoto Afrika hadi lini.

Mimi nahisi jana Portugal waliandaliwa matokeo kwa sababu hizi
  1. Magoli yote matatu yalikuwa ya utata na VAR haikufanya hata kazi
  2. Goli la kwanza haikustahili iwe penalty, CR7 kaguswa kidogo sana akajiangusha
  3. Goli la pili na la tatu ofside, Felix na Leao waliotea
Ghana alistahili kushinda 2-0

Mashabikiwa Ghana walalamika

No VAR?​

‘Pure robbery’ - Fans lament lack of VAR review in Ghana vs Portugal World Cup match​

OMG there was actually no VAR check. This is just pure robbery. - @_owurakuampofo
So, when it's against African teams then there's no VAR? Clear robbery against Ghana - @Bosongo_
Fifa World Cup, you guys robbed us. You guys need to cancel that penalty and [Portugal’s] second goal was offside. You guys failed the fair play rule. You guys failed to accept our petition to check the VAR and call the offsides. This is wrong, this is not fair to Ghana or is Africa not part of the VAR? - Chris Tandoh

Raphael Leao clear offide goal

View attachment 2427135

Joao Felix clear offide goal

View attachment 2427137
 
Ila kombe la dunia, dakika za nyongeza ni kuanzia tano kwenda mbele.
Ni marekebisho yaliyopitishwa ktk sheria na taratibu mpya za FIFA. Hii ni ktk kufidia stoppage time mf. pale mpira unapotoka nje ya pitch n.k.
Huu ni mchango wa mkongwe Mzee Pierluigi Collina ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Referees wa FIFA.
 
Mimi nahisi jana Portugal waliandaliwa matokeo kwa sababu hizi
  1. Magoli yote matatu yalikuwa ya utata na VAR haikufanya hata kazi
  2. Goli la kwanza haikustahili iwe penalty, CR7 kaguswa kidogo sana akajiangusha
  3. Goli la pili na la tatu ofside, Felix na Leao waliotea
Ghana alistahili kushinda 2-0

Mashabikiwa Ghana walalamika

No VAR?​

‘Pure robbery’ - Fans lament lack of VAR review in Ghana vs Portugal World Cup match​

OMG there was actually no VAR check. This is just pure robbery. - @_owurakuampofo
So, when it's against African teams then there's no VAR? Clear robbery against Ghana - @Bosongo_
Fifa World Cup, you guys robbed us. You guys need to cancel that penalty and [Portugal’s] second goal was offside. You guys failed the fair play rule. You guys failed to accept our petition to check the VAR and call the offsides. This is wrong, this is not fair to Ghana or is Africa not part of the VAR? - Chris Tandoh
Chezeni, msitegemee kulalamika baadae kuwa maamuzi hayakuwa upande wetu
 
Mpaka sasa kwa mtizamo wangu wa raundi ya kwanza naona Uingereza, france na Spain wamepania sana haya mashindano. Na ninahisi kati ya hao watatu ndipo bingwa alipo. Brazil nao wapo ila wakikutana na hao watatu siioni nafasi yake.
Uingereza bado sijaona cha tofaut uwa wanaanza vzr lkn wakikutana na vingingi vizito watabeba mabegi yao nyumbani.
Kwa upande wng team ambazo zinaonekana ni za kuogopa ni Brazil, France na Spain.
 
Back
Top Bottom