Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Kuuliza tu, hivi dstv hawana app ya kwenye simu kama ile ya azam max? mana nimedanlod mydstv nimeweka namba ya kingamuzi nashangaa wananiambia tena nilipe!
App yao inazingua kuwatch labda kuna sehem huwa nakosea tuwaite wataalam watusaidie.