Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ni marekebisho yaliyopitishwa ktk sheria na taratibu mpya za FIFA. Hii ni ktk kufidia stoppage time mf. pale mpira unapotoka nje ya pitch n.k.
Huu ni mchango wa mkongwe Mzee Pierluigi Collina ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Referees wa FIFA.
I thot ilikuaga hivo tangu zamani,inashangaza hawakufikiria hivi mapema. So zaman walkua wanakadiria tu au?
 
Kuuliza tu, hivi dstv hawana app ya kwenye simu kama ile ya azam max? mana nimedanlod mydstv nimeweka namba ya kingamuzi nashangaa wananiambia tena nilipe!
 
Watu humu ndani mnakosea sana mnanaangalia hizi match za round ya kwanza tu, mpaka sasa bado Sijaona timu ya kuipa matumaini ya kuchukua WC. Timu nyingi kubwa zimekutana na vibonde jana portugal kabebwa nje nje goli zote 3 zina walakini.

Tusubir round ya 16 hapa kidogo tutapata mwanga kuna timu zimefungwa kama Argentina na Germany lakini ni mapema sana anything can happen kwenye soka na kuanza vibaya sio kumaliza vibaya na kuanza vizuri sio kumaliza vizuri tuendelee kutizama soka.
 
Back
Top Bottom