Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Messi yukwapNeymar na Pele ndio wachezaji pekee wawili walioifungia nchi yake magoli zaidi ya 70
View attachment 2427030
- Pele kaifungia Brazili goli 77
- Neymar kaifungia Brazil goli 75 (Bado mbili tu afikie rekodi ya Pele)
Sio kweli[emoji15][emoji15][emoji15]
I thot ilikuaga hivo tangu zamani,inashangaza hawakufikiria hivi mapema. So zaman walkua wanakadiria tu au?Ni marekebisho yaliyopitishwa ktk sheria na taratibu mpya za FIFA. Hii ni ktk kufidia stoppage time mf. pale mpira unapotoka nje ya pitch n.k.
Huu ni mchango wa mkongwe Mzee Pierluigi Collina ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Referees wa FIFA.
Me naona mostly inayopingwa ni gayism,what if rainbow only meant lesbianism je tungehangaika nayo kuipinga?Mabeberu yameshinda kwa hoja huko Qatar!View attachment 2427142
Mkuu ngj tuwe wapole tu twend mdg mdg watu wanatuombea tutoke watucheke sana lkn tutapambana tutapiga mpr mwng sana kesho.Argentina ataishangaza Dunia.
Na wale wanaobadilisha jinsia pia. Ila chamsingi hao watu wa ulaya wakiongozwa na UK wanahasira ya kunyimwa uenyeji wa kombe la dunia ndio maana wanaleta propaganda zote hizo.Me naona mostly inayopingwa ni gayism,what if rainbow only meant lesbianism je tungehangaika nayo kuipinga?
Yeah kweli.Na wale wanaobadilisha jinsia pia. Ila chamsingi hao watu wa ulaya wakiongozwa na UK wanahasira ya kunyimwa uenyeji wa kombe la dunia ndio maana wanaleta propaganda zote hizo.
GHANA,BRAZIL,ECUADORMD1 is complete.
Which nation impressed you the most during the first round of fixtures? [emoji2956]
#FIFAWorldCup
Me: Ghana, Saudi Arabia, Japan
Mbona mwili na shongo ya Messi haviendani?
Sasa hivi anajuataaa🇧🇷🇧🇷😂😂🔥 haya Amina Mwenye Chura yake hapo mjini Mwananyamala
Aisaa mbona,walitaka kumvunja mguu nyota wetu. Na kamguu kamevimba
Hatunaga kazi mbovu🇧🇷Mabingwa Brazil wamefunga na goal of the tournament 🇧🇷
Wales akicheza atafungwa 2nd half Iran wanajua wakifungwa wanatoka so wanapamban sana leo.Hawa Wales kumbe weupe hivi. Iran leo wanaupinga mpira bwana ,sema walifunga goli refa akasema ni offside.