Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hata PSG fainal UEFA kawakosesha ubingwa kwa utoto wake na hata mechi ya UEFA iliyopita waliyotolewa na Real Madrid akimleta utoto sana langoni na kuchelewesha mashambulizi mpaka kutolewa.
Umeangalia mpira wa jana au unapewa stori za kweny vijiwe umeona kazi aliyefanya Neymar jana ao viungo wakabaji na beki za Serbia kutoka Kwa Neymar kwao ilikua sherehere kama Neymar angecheza dakika zote 90 Kuna mchezaji wa Serbia alikua anakula umeme
 
Mim mwenyewe watu nawashangaa Neymar ndio uchezaji wake sjui wameanza kumuona Leo Ata akiwa Santos na Barcelona alikua anakaa na mpira mguuni na Neymar mpira mguuni mwake hakuna wakumnyanga labda upige kiatu tu jana kafanya kazi yakupnguza ngome kutokea katika ya uwanja hadi wachezaji wawili walipigwa kadi za njano ila nashangaa watu wanakwambia Neymar kacheza vibaya
Washamba na akili zao moja unajuwa wabongo wakikalilishwa
 
Mim mwenyewe watu nawashangaa Neymar ndio uchezaji wake sjui wameanza kumuona Leo Ata akiwa Santos na Barcelona alikua anakaa na mpira mguuni na Neymar mpira mguuni mwake hakuna wakumnyanga labda upige kiatu tu jana kafanya kazi yakupnguza ngome kutokea katika ya uwanja hadi wachezaji wawili walipigwa kadi za njano ila nashangaa watu wanakwambia Neymar kacheza vibaya
Tatizo nyota
 
Mimi nahisi jana Portugal waliandaliwa matokeo kwa sababu hizi
  1. Magoli yote matatu yalikuwa ya utata na VAR haikufanya hata kazi
  2. Goli la kwanza haikustahili iwe penalty, CR7 kaguswa kidogo sana akajiangusha
  3. Goli la pili na la tatu ofside, Felix na Leao waliotea
Ghana alistahili kushinda 2-0

Mashabikiwa Ghana walalamika

No VAR?​

‘Pure robbery’ - Fans lament lack of VAR review in Ghana vs Portugal World Cup match​

OMG there was actually no VAR check. This is just pure robbery. - @_owurakuampofo
So, when it's against African teams then there's no VAR? Clear robbery against Ghana - @Bosongo_
Fifa World Cup, you guys robbed us. You guys need to cancel that penalty and [Portugal’s] second goal was offside. You guys failed the fair play rule. You guys failed to accept our petition to check the VAR and call the offsides. This is wrong, this is not fair to Ghana or is Africa not part of the VAR? - Chris Tandoh
 
20221125_102647.jpg
 
Back
Top Bottom