Umaarufu tu unambeba, unataka kusema amesafiri hewani kama huyu?Hiki kibabu sijui huwa kina mabawa..View attachment 2427117
Kichapo ulikiona jana jomba?Nitakuita baadae
Hizo ni picha mbili tofauti ya juu na chini kuna mstari,chunguza vizuriUmaarufu tu unambeba, unataka kusema amesafiri hewani kama huyu?
View attachment 2427136
Mimi nahisi jana Portugal waliandaliwa matokeo kwa sababu hizi
Ghana alistahili kushinda 2-0
- Magoli yote matatu yalikuwa ya utata na VAR haikufanya hata kazi
- Goli la kwanza haikustahili iwe penalty, CR7 kaguswa kidogo sana akajiangusha
- Goli la pili na la tatu ofside, Felix na Leao waliotea
Mashabikiwa Ghana walalamika
No VAR?
‘Pure robbery’ - Fans lament lack of VAR review in Ghana vs Portugal World Cup match
OMG there was actually no VAR check. This is just pure robbery. - @_owurakuampofo
So, when it's against African teams then there's no VAR? Clear robbery against Ghana - @Bosongo_
Fifa World Cup, you guys robbed us. You guys need to cancel that penalty and [Portugal’s] second goal was offside. You guys failed the fair play rule. You guys failed to accept our petition to check the VAR and call the offsides. This is wrong, this is not fair to Ghana or is Africa not part of the VAR? - Chris Tandoh
Kwani lazima uwe mhenga. Internet hii unapata hata mambo ya 1300 na unayasimulia as if ulikuwepo.Haaaa! 2004 unaona mbali? Watu wanakumbukumbu za WC ya 1994 na CAN ya 94
Ukisema hapa unapenda kusikiliza beetles watu wanakuona mhenga 😆🤣😅 hawajui vitu hivyo vipo vidoleni sahvKwani lazima uwe mhenga. Internet hii unapata hata mambo ya 1300 na unayasimulia as if ulikuwepo.
Ni marekebisho yaliyopitishwa ktk sheria na taratibu mpya za FIFA. Hii ni ktk kufidia stoppage time mf. pale mpira unapotoka nje ya pitch n.k.Ila kombe la dunia, dakika za nyongeza ni kuanzia tano kwenda mbele.
Hao wote wamekutana na timu nyepesi.Mpaka sasa kwa mtizamo wangu wa raundi ya kwanza naona Uingereza, france na Spain wamepania sana haya mashindano. Na ninahisi kati ya hao watatu ndipo bingwa alipo. Brazil nao wapo ila wakikutana na hao watatu siioni nafasi yake.
Chezeni, msitegemee kulalamika baadae kuwa maamuzi hayakuwa upande wetuMimi nahisi jana Portugal waliandaliwa matokeo kwa sababu hizi
Ghana alistahili kushinda 2-0
- Magoli yote matatu yalikuwa ya utata na VAR haikufanya hata kazi
- Goli la kwanza haikustahili iwe penalty, CR7 kaguswa kidogo sana akajiangusha
- Goli la pili na la tatu ofside, Felix na Leao waliotea
Mashabikiwa Ghana walalamika
No VAR?
‘Pure robbery’ - Fans lament lack of VAR review in Ghana vs Portugal World Cup match
OMG there was actually no VAR check. This is just pure robbery. - @_owurakuampofo
So, when it's against African teams then there's no VAR? Clear robbery against Ghana - @Bosongo_
Fifa World Cup, you guys robbed us. You guys need to cancel that penalty and [Portugal’s] second goal was offside. You guys failed the fair play rule. You guys failed to accept our petition to check the VAR and call the offsides. This is wrong, this is not fair to Ghana or is Africa not part of the VAR? - Chris Tandoh
Uingereza bado sijaona cha tofaut uwa wanaanza vzr lkn wakikutana na vingingi vizito watabeba mabegi yao nyumbani.Mpaka sasa kwa mtizamo wangu wa raundi ya kwanza naona Uingereza, france na Spain wamepania sana haya mashindano. Na ninahisi kati ya hao watatu ndipo bingwa alipo. Brazil nao wapo ila wakikutana na hao watatu siioni nafasi yake.
Huoni hizo picha zimeungwa?Umaarufu tu unambeba, unataka kusema amesafiri hewani kama huyu?
View attachment 2427136
Hilo sahau mkuu.Furaha yangu Argentina watoke kombe la dunia mapema tu
Zitapitaje security?Mabeberu yameshinda kwa hoja huko Qatar!View attachment 2427142
Wanatuombea sana mabaya asee tunapigwa sana vita ngj kesho tupambane tushindeHilo sahau mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka, wachezaji wa Ghana wanamchungulia utadhani yuko juu ya mti
Argentina ataishangaza Dunia.Wanatuombea sana mabaya asee tunapigwa sana vita ngj kesho tupambane tushinde