Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Yupo. Mazingira sio rafikiHivi bale yupo Wales?
Hivi bale yupo Wales?
Wamekosa sana magoal watajutia wnyw tuWachezaji wa iran wana nini kichwani
KabisaKumbe ninaujua mpira. Naona Refa kafuta ya njano na kaweka red. VAR iishi daima. Ninamlaumu sana refa wa jana Portugal vs Ghana kutokuangalia VAR
Asante, Dah mdau big up sanaa.Nenda kajisajili kwanza kwenye website yao ndio urudi utumie app
Yule wa Ureno alikua mhuni kbs Yan akakataa kata kata kwnd kuangalia.. Yan vitu vingne vinaleta sana waswas ya rushwa kbs.Kumbe ninaujua mpira. Naona Refa kafuta ya njano na kaweka red. VAR iishi daima. Ninamlaumu sana refa wa jana Portugal vs Ghana kutokuangalia VAR
Wales mkuu.Iran wanakula Umeme, red card.