Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ni kweli ulichoandika ila Cameroon anaweza kukomaa kwa Serbia au Swtzeland hasa Serbia, though ni kweli wapo vizuri sana
 
Kwa nini mnazi undermine sana timu za Afrika mtakuja kushangazwa ujue
 
Wata resume vp dominance wakati vijana ni walamba [emoji105] mkuu
Talent ilikwiasha 2002 the rest ni history
 
Hawa hata Qatar, Iran na Saudi round ya kwanza hawavuki watakuwaje underdogs?

Competitor anayeshindana hadi kuchukua kombe bila kutarajiwa na wengi ndie anastahili kuwa underdog
Kwa maoni yangu timu yeyote itakayoshinda kombe hili mbali na Brazil, Argentina au France ni underdog
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…