Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Sawa bwana mdogo endelea kuota Ujerumani atakua bingwa plus atamfunga Brazil in case wakikutana.Toa statistics otherwise we ni looser
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa bwana mdogo endelea kuota Ujerumani atakua bingwa plus atamfunga Brazil in case wakikutana.Toa statistics otherwise we ni looser
Wazungu nao wana uswahili mwingiHii sasa roho mbaya
Ni kweli ulichoandika ila Cameroon anaweza kukomaa kwa Serbia au Swtzeland hasa Serbia, though ni kweli wapo vizuri sanaWe kweli hujui mpira Eti kundi la brazil ni simple sana
Sasa kwa wanaojua mpira lile ndo kundi gumu kuliko makundi yote
BRAZIL
SERBIA
SWITZERLAND
CAMEROON
Hapa kwenye hili kundi brazil atakutana na ugumu kwa serbia na switzerland ni team ndogo lakini zimekua kisoka sana siku za hv karibuni
Hapo team ambayo inaweza toka bila point ni Cameroon
Brazil ana kazi ya ziada kwa serbia na switzerland
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini mnazi undermine sana timu za Afrika mtakuja kushangazwa ujueWe kweli hujui mpira Eti kundi la brazil ni simple sana
Sasa kwa wanaojua mpira lile ndo kundi gumu kuliko makundi yote
BRAZIL
SERBIA
SWITZERLAND
CAMEROON
Hapa kwenye hili kundi brazil atakutana na ugumu kwa serbia na switzerland ni team ndogo lakini zimekua kisoka sana siku za hv karibuni
Hapo team ambayo inaweza toka bila point ni Cameroon
Brazil ana kazi ya ziada kwa serbia na switzerland
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazim aisee🤣🤣🤣🤣 Mwee ila anamihela
ghana 2010Nigeria hajawahi vuka 16 bora
Africa ni Senegal na Cameroon tuu ndio walifika robo toka tournament zianzishwe
France anaishia group stage ,hii ni laana ya world cup winner ....
Flying DutchmanMashabiki wa Spain msijisahaulisheView attachment 2422041
Cameroon anaondoka ubao ukiwa unasoma (0) tupo hapaNi kweli ulichoandika ila Cameroon anaweza kukomaa kwa Serbia au Swtzeland hasa Serbia, though ni kweli wapo vizuri sana
Mkuu cameroon anaondoka ubao unasoma (0) tupo hapaKwa nini mnazi undermine sana timu za Afrika mtakuja kushangazwa ujue
Wazee wa dk za nyongeza 😃Watakuepo msijisahaulishe View attachment 2422049
Wata resume vp dominance wakati vijana ni walamba [emoji105] mkuuFollowing lack of serious commitment and determination, repeatedly mistakes, poor performance and of course bad fortunate on their side I revoke being a Brazilian fan and declare myself a new Argentinian supporter until the former resume their dominance in football
Nadhani haya mashindano sio ya kibiashara, hadi TBC wataonyesha
Tbc ipi mkuu? Ni washenzi tu hawana pesa za kuonyesha.Nadhani haya mashindano sio ya kibiashara, hadi TBC wataonyesha
Mkuu tayati Kipara kafakisha hukuLabda TANESCO wafanye yao
Basi sisi tutakua wa kwanza kuikata hiyo 'scenario'.France anaishia group stage ,hii ni laana ya world cup winner ....
Kawaulize German ,Spain baada ya kuchukua world cup .....
Hawa hata Qatar, Iran na Saudi round ya kwanza hawavuki watakuwaje underdogs?WANAOTABILIWA SANA KUTWAA WC NI
1.BRAZIL
2.ARGENTINA
3.FRANCE
4.GERMANY
Na underdogs wa WC Mwaka huu ambao wasipokaa kitaalamu wataondoka bila point ni
1.QATAR
2.IRAN
3.SAUDI
Timu kutoka Africa inayoweza kufika hatua ya mtoano ni SENEGAL PEKEE
Kombe la Dunia mwaka huu ni kama nafasi ya pekee kwa Messi kukamilisha sifa yake kama Mchezaji bora wa dunia ashindwe mwenyewe tu , sema Brazil wamependelewa😀😀