Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

We kweli hujui mpira Eti kundi la brazil ni simple sana

Sasa kwa wanaojua mpira lile ndo kundi gumu kuliko makundi yote

BRAZIL
SERBIA
SWITZERLAND
CAMEROON

Hapa kwenye hili kundi brazil atakutana na ugumu kwa serbia na switzerland ni team ndogo lakini zimekua kisoka sana siku za hv karibuni

Hapo team ambayo inaweza toka bila point ni Cameroon

Brazil ana kazi ya ziada kwa serbia na switzerland

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ulichoandika ila Cameroon anaweza kukomaa kwa Serbia au Swtzeland hasa Serbia, though ni kweli wapo vizuri sana
 
We kweli hujui mpira Eti kundi la brazil ni simple sana

Sasa kwa wanaojua mpira lile ndo kundi gumu kuliko makundi yote

BRAZIL
SERBIA
SWITZERLAND
CAMEROON

Hapa kwenye hili kundi brazil atakutana na ugumu kwa serbia na switzerland ni team ndogo lakini zimekua kisoka sana siku za hv karibuni

Hapo team ambayo inaweza toka bila point ni Cameroon

Brazil ana kazi ya ziada kwa serbia na switzerland

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini mnazi undermine sana timu za Afrika mtakuja kushangazwa ujue
 
Nothing is impossible because possible is something QATAR TUNAKUNYWA
IMG_20221120_143934.jpg
 
Following lack of serious commitment and determination, repeatedly mistakes, poor performance and of course bad fortunate on their side I revoke being a Brazilian fan and declare myself a new Argentinian supporter until the former resume their dominance in football
Wata resume vp dominance wakati vijana ni walamba [emoji105] mkuu
Talent ilikwiasha 2002 the rest ni history
 
WANAOTABILIWA SANA KUTWAA WC NI
1.BRAZIL
2.ARGENTINA
3.FRANCE
4.GERMANY

Na underdogs wa WC Mwaka huu ambao wasipokaa kitaalamu wataondoka bila point ni
1.QATAR
2.IRAN
3.SAUDI

Timu kutoka Africa inayoweza kufika hatua ya mtoano ni SENEGAL PEKEE

Kombe la Dunia mwaka huu ni kama nafasi ya pekee kwa Messi kukamilisha sifa yake kama Mchezaji bora wa dunia ashindwe mwenyewe tu , sema Brazil wamependelewa😀😀
Hawa hata Qatar, Iran na Saudi round ya kwanza hawavuki watakuwaje underdogs?

Competitor anayeshindana hadi kuchukua kombe bila kutarajiwa na wengi ndie anastahili kuwa underdog
Kwa maoni yangu timu yeyote itakayoshinda kombe hili mbali na Brazil, Argentina au France ni underdog
 
Back
Top Bottom