WametuheshimishaSimba wa teranga wamebakiza mechi na kina ener Valencia wa Ecuador! View attachment 2427327
Hao jamaa sina Imani naoWametuheshimisha
Van dijkAtakaye tabiri mfungaji wa goli la kwanza mechi ya Ecuador vs Holland atapata zawadi ya vocha 5000/=
N.B ukumbuke kunitag kabla ya saa moja jioni.View attachment 2427331View attachment 2427330
Rangi ya ngozi inaingiaje apa muzeeiya🤔Qatar tumeonewa siyo mbaya Iran atatulipia ndyo maana mi Senegal meusi tiiiii [emoji34][emoji34][emoji34]
Wadachi leo unga utazidi majiWa dutch wanaingia kuvuluga akili za Ecuador hii nayo ni bonge moja la mechi
Van dijk
ValenciaAtakaye tabiri mfungaji wa goli la kwanza mechi ya Ecuador vs Holland atapata zawadi ya vocha 5000/=
N.B ukumbuke kunitag kabla ya saa moja jioni.View attachment 2427331View attachment 2427330
Usiponitag utakuwa umekosea masharti. Vigezo na masharti kuzingatiwa!
Iran naye ni mbahatishaji tuQatar tumeonewa siyo mbaya Iran atatulipia ndyo maana mi Senegal meusi tiiiii [emoji34][emoji34][emoji34]
HahahWewe mliverpool bila shaka
Dhidi ya nani?Hao jamaa sina Imani nao
Hahaaa umeona waingireza wana slang zuri sana ukimskilza Micheal Owen unatamani aendelee kuongea mda wote waingireza wanajua bwana tena kweny ligi Yao mechi ikisha wakati wanchambua wanakuonesha matukio ya uwanjani afu unaweka juu ya screen voice of Micheal Owen,voice of Rio FerdinandEnglish ya owen na wabantu tofauti sana
Namaanisha Senegal nimeona mpira wao hauna matumaini. Leo wamemfunga kibonde majiDhidi ya nani?
Mkuu Owen ni Scouser kama ilivyo Rooney na Steven Gerald; English yao inachekesha chekesha kama vile wasukuma na kiswahili....Hahaaa umeona waingireza wana slang zuri sana ukimskilza Micheal Owen unatamani aendelee kuongea mda wote waingireza wanajua bwana tena kweny ligi Yao mechi ikisha wakati wanchambua wanakuonesha matukio ya uwanjani afu unaweka juu ya screen voice of Micheal Owen,voice of Rio Ferdinand
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi nyie mashabiki wa Timu za Afrika mlidhani sisi Waarabu wa Qatar tungeweza kufanya maajabu yoyote kwenye michuano hii ya Kombe la Dunia..!
Tumeandaa tu lakini hatuna uwezo wowote uwanjani..!
Hahaaa umeona waingireza wana slang zuri sana ukimskilza Micheal Owen unatamani aendelee kuongea mda wote waingireza wanajua bwana tena kweny ligi Yao mechi ikisha wakati wanchambua wanakuonesha matukio ya uwanjani afu unaweka juu ya screen voice of Micheal Owen,voice of Rio Ferdinand
Ndio maana nimeuliza haileti matumaini dhidi ya mpinzani gani?Namaanisha Senegal nimeona mpira wao hauna matumaini. Leo wamemfunga kibonde maji
[emoji1787][emoji1787][emoji3064]Qatar tumeonewa siyo mbaya Iran atatulipia ndyo maana mi Senegal meusi tiiiii [emoji34][emoji34][emoji34]
Mkuu Owen ni Scouser kama ilivyo Rooney na Steven Gerald; English yao inachekesha chekesha kama vile wasukuma na kiswahili....
English ya Cockneys (watu wa London angalau) ndio hao kina Rio..., Sifa nyingine ya Scousers ni wezi / vibaka