Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

English ya owen na wabantu tofauti sana
Hahaaa umeona waingireza wana slang zuri sana ukimskilza Micheal Owen unatamani aendelee kuongea mda wote waingireza wanajua bwana tena kweny ligi Yao mechi ikisha wakati wanchambua wanakuonesha matukio ya uwanjani afu unaweka juu ya screen voice of Micheal Owen,voice of Rio Ferdinand
 
Mkuu Owen ni Scouser kama ilivyo Rooney na Steven Gerald; English yao inachekesha chekesha kama vile wasukuma na kiswahili....

English ya Cockneys (watu wa London angalau) ndio hao kina Rio..., Sifa nyingine ya Scousers ni wezi / vibaka
 
Hawaboi wala hawapigi kelele

Back
Top Bottom