vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Mpira wa mashabiki wenye pesa, na wao ndo wamejaa huko Qatar ukiondoa Argentina
Utakuwa ulijifunza uongo st Augustine university! 😂Kweliii
Kwani unadhan wanaposema keeping finger crossed wanapozungumzia good lucky maana yake ni nini? Ndo hyoHeeee uchawi wa kukunja vidole kumbe mpaka uzunguni upoo??
Hivi Biden anaangalia kweli hii mechi?
Huyu Maguire akiwa national team anakuwa mzuri kweli, pale Utd sijui huwa kuna nini tu.
Hii mechi nazika yeyote.
Mpira umepooza. England sijui wanasubiri nini kutupa raha sisi..
Yaani kama vile wameshashinda tayari.
Haka KaSaka kapuuzi kweli.
Anapooza mpira na kupiga back pass.
Sasa mbona wanaishi na Manyani na wanawapa favour mpk ya 1st eleven? [emoji23]Orange ni hao uholanzi makaburu Dutch wana roho mbaya hao ukipata demu wa kiholanzi mpakie mcongo wana roho mbaya sana hao
Huu Mpira mgumu, Halafu wamelingana uwezo hiviMpira umepooza. England sijui wanasubiri nini kutupa raha sisi..
Yaani kama vile wameshashinda tayari.
Haka KaSaka kapuuzi kweli.
Anapooza mpira na kupiga back pass.
Na mchezo wao upo slow, unasadifu LGBT agenda.LGBT wanatifuana leo
Mnaisubiria raha kwenye mpira ambao mnapigiwa mpaka inagonga mwamba?Mpira umepooza. England sijui wanasubiri nini kutupa raha sisi..
Yaani kama vile wameshashinda tayari.
Haka KaSaka kapuuzi kweli.
Anapooza mpira na kupiga back pass.