Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mpira umepooza. England sijui wanasubiri nini kutupa raha sisi..

Yaani kama vile wameshashinda tayari.

Haka KaSaka kapuuzi kweli.
Anapooza mpira na kupiga back pass.
 
Sema England sio offensive kabisa, haya mambo ya pass nyingi zisizo na madhara utafikiri wanacheza TAMBA sio poa kabisa, wakikutana na team inayowaza matokeo ni lazima wapoteane.
 
Orange ni hao uholanzi makaburu Dutch wana roho mbaya hao ukipata demu wa kiholanzi mpakie mcongo wana roho mbaya sana hao
Sasa mbona wanaishi na Manyani na wanawapa favour mpk ya 1st eleven? [emoji23]
 
Mpira umepooza. England sijui wanasubiri nini kutupa raha sisi..

Yaani kama vile wameshashinda tayari.

Haka KaSaka kapuuzi kweli.
Anapooza mpira na kupiga back pass.
Huu Mpira mgumu, Halafu wamelingana uwezo hivi
 
Mpira umepooza. England sijui wanasubiri nini kutupa raha sisi..

Yaani kama vile wameshashinda tayari.

Haka KaSaka kapuuzi kweli.
Anapooza mpira na kupiga back pass.
Mnaisubiria raha kwenye mpira ambao mnapigiwa mpaka inagonga mwamba?
 
Back
Top Bottom