Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mkuu waache wajisahaulishe team yao pendwa tuliwapiga kwao pale pale Brazil kama wamesimama tukabeba ndoo.Refer copa america, mpaka final na tukabeba ndoo, kule europe tukamnyuka italy goli 3 tukatwaa ubingwa, mexico tutamcharaza mboko nyingi
Sidhani kama harufu inaonekana mkuu.Naona harufu ya goli kabla ya mapumziko
Hiyo harufu bado ipo?Naona harufu ya goli kabla ya mapumziko
Marekani ilikuwa ya kina London Donovan, mwamba Clint Dempsey halafu mbele wana mtu mkubwa sana Jose Altidor.
Haka Kasaka katoke
Weka over 1.5Muda wa kubet umefika sasa
Kila timu inajitutumua aiseeMarekani kumbe wapo wapo
Kasakatonge kamekutana na kandeHaka Kasaka katoke