Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rashford mpemba naona gamee inamuhitaji hiiWanatakiwa waingie wachezaji wa mchakamchaka
Mwisho mtasema aingie na kochaWanatakiwa waingie wachezaji wa mchakamchaka
Yaani unaweza usiamini kama hawa ndio miongoni mwa viongoz wa mapungaKila timu inajitutumua aisee
Haka Kasaka katoke
Nakataa siyo hiki.Wazee wa England, hiki ndio kiwango cha kuchukulia kombe au kuna kingine mmekiacha home?
Ngoja ataingia tu ila ukweli utabaki kuwa mpira unachezwa kwa kuzingatia currently form sio u legendaryRashford mpemba naona gamee inamuhitaji hii
Tulia mkuu, tutampasua tu usijaliHawa US mbona wananitishia Amani mm IRAN [emoji22][emoji22][emoji22]
Kwamba England walidharau game na USA walipania?Nakataa siyo hiki.
Plan ya leo ya kipumbavu kweli. Hawana njaa na matokeo.. utadhani tumeshafuzu.
Wazee wa England, hiki ndio kiwango cha kuchukulia kombe au kuna kingine mmekiacha home?
Mnataka mbadilike muwe mazombi?England inabidi tubadilike second half.
Plan ya kupooza namna hii haitatufikisha mahali. Haki ya Mungu vile.