HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
England yuko overratedWatu wanasema haijachangamka kwasababu timu yao pendwa imekamiwa
Haichezi kama ambavyo walitegemea
Marekani kaingia kwenye mchezo kama under dog, na wengi hawategemei miujiza toka kwake