Carlos Tevez
JF-Expert Member
- Jun 8, 2022
- 383
- 1,021
Najua ni kwa sababu ya MOUNT na Sterling tu.Depawiseey anamsapoti mngeresa! 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua ni kwa sababu ya MOUNT na Sterling tu.Depawiseey anamsapoti mngeresa! 🤣
Sterling sijui kagusa mpira mara ngapi tu, kocha aweke foden ndani humo.Watutolee hivi vitoto vya back pass.
Sterling naye asiwe wa kuonyesha makalio tu..
Yeye ashinde tu, sisi tunataka magoli tu.Hii game Marekani anashinda
Ila ni shabiki wa Chelsea 🤣Sterling sijui kagusa mpira mara ngapi tu, kocha aweke foden ndani humo.
Sio fan wa England ila niweka hela kwenye mabao.
Mpira umekua kwa sasa, karibia nchi nyingi zimebadilika sana kisoka, huku bongo ndio ujinga mwingi saana.. eti timu pendwa zisifungwe au kutoa sare kocha atajuta hapo na benchi lake + viongozi.. mambo ya kizamani sana..Kwamba England walidharau game na USA walipania?
Mi ndo maana nawaambia watu wanaofanya calculations za USA kuja kufungwa na Iran nawaona wanafanya makosa sana
Hii perfomance wanaoitoa hapa USA ni zaidi ya 60â„… dhidi ya mpinzani, hii inaonesha jinsi gani wamejipanga na wana ubora wa kupambana na timu yeyote ngumu
Wazee wa upinde mmeanza sasa.Yani huyu sterling ana tako zuri[emoji39][emoji39] kuliko demu wangu
Soka linatakiwa likue pamoja na fikra za watuMpira umekua kwa sasa, karibia nchi nyingi zimebadilika sana kisoka, huku bongo ndio ujinga mwingi saana.. eti timu pendwa zisifungwe au kutoa sare kocha atajuta hapo na benchi lake + viongozi.. mambo ya kizamani sana..
Nyie lazima tuchukue point 3Hawa US mbona wananitishia Amani mm IRAN [emoji22][emoji22][emoji22]
Ollachuga ndiye shabiki wa Chelsea[emoji1].Ila ni shabiki wa Chelsea [emoji1787]
Awapi.Game droo hii
Ngoja tutaona mzeeGame droo hii
Wajinga ni wengi nchi hii ndio mana hata watawala wanajipigia watakavyo... Mashabiki wanatakiwa wajue kuwa timu zao pendwa zinapofungwa / kudraw na timu wanazoona wao kuwa ni ndogo wajue kuwa ndio soka linakua namna hiyo.. sio ajabu Man City kufungwa na Norwich CitySoka linatakiwa likue pamoja na fikra za watu
Huku bongo soka limekuwa ila fikra za mashabiki bado ni too lazy
Watu wanasema haijachangamka kwasababu timu yao pendwa imekamiwaHii ndo mechi bana
Hauna uwezo huo Iran tutawapiga US labda Rambo acheze mpiraNyie lazima tuchukue point 3
Huyu Maguire akiwa national team anakuwa mzuri kweli, pale Utd sijui huwa kuna nini tu.