Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nakataa siyo hiki.

Plan ya leo ya kipumbavu kweli. Hawana njaa na matokeo.. utadhani tumeshafuzu.
Kwamba England walidharau game na USA walipania?

Mi ndo maana nawaambia watu wanaofanya calculations za USA kuja kufungwa na Iran nawaona wanafanya makosa sana

Hii perfomance wanaoitoa hapa USA ni zaidi ya 60℅ dhidi ya mpinzani, hii inaonesha jinsi gani wamejipanga na wana ubora wa kupambana na timu yeyote ngumu
 
England inabidi tubadilike second half.

Plan ya kupooza namna hii haitatufikisha mahali. Haki ya Mungu vile.
 
England inabidi tubadilike second half.

Plan ya kupooza namna hii haitatufikisha mahali. Haki ya Mungu vile.
Mnataka mbadilike muwe mazombi?

Nyie tulieni si mlibeti na mkatoa ahadi kwa wadeni wenu kuwa hela yao wategemee kesho baada ya mpira kuisha?

Sasa anza mapema kumtuliza mdeni wako aelewe kabisa kuwa asitegmee sana maana vijana wa USA wamekuwa serious sana
 
Back
Top Bottom