England yuko overratedWatu wanasema haijachangamka kwasababu timu yao pendwa imekamiwa
Haichezi kama ambavyo walitegemea
We tulia tu sasa hivi utasikia kilio cha mtu mzimaJitu limekoswa koswa hapa
Aliye jitahidi ni ambaye anazuiaHadi sasa Marekani kajitahidi