joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Atachomesha mda si mrefuWanangu wa Man Utd mnamuona Captain Maguire anavyo kichafua........ pale Man kuna watu wanampigaga misumali Captain.
Hii timu bado ina mashabiki vijana?Wanangu wa Man Utd mnamuona Captain Maguire anavyo kichafua........ pale Man kuna watu wanampigaga misumali Captain.
Wapo na humu wana thread yao.Hii timu bado ina mashabiki vijana?
Litakuwepo tuSioni goli kwenye hii mechi
Mna roho ngumuWapo na humu wana thread yao.