Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hili kombe la dunia ni la yeyote kwa staili hii..sitashangaa argentina ikipita aisee...the unexpected can happen
 
Nilisema mwanzo Depal kila timu anayoishabikia inageuka gundu. Alianza na Senegal kaenda Argentina, kaja Germany, jana tu alikuwa ghana. Leo gundu kalihamishia Uingereza [emoji1787][emoji119]
Drake wa kibongo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom