Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Yani ukisikia Africa tuna uzuzu ndio huo yani Rais wa Nchi A halafu mtoto Raia wa Nchi B.
Africa tuna laana sio bure
Una kichaa wewe masikini unaeishi Mbagala chamazi na wazazi wako wanaishi uyole.

Huyo mtoto alizaliwa Marekani wakati George weah anacheza mpira ulitaka birth citizenship yake iwe nchi gani Ng'ombe WA Mayele wewe

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Aaagh kweli bado. Kumbe Wales ana point moja. *****
Group lao kila timu ina nafasi, mechi ya mwisho ikitokea wales kashinda atakua point 4 sawa na england, marekan nae akishinda atakua na 4. Gem za mwisho zitaamua hili group
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…