HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Umemaliza kwa zaidi ya sekunde 40, maana waliongeza 4, imemaliza kwa 4;40Mpira umeisha ikiwa zimebaki sekunde kadhaa kwenye ule muda wa kuongezwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza kwa zaidi ya sekunde 40, maana waliongeza 4, imemaliza kwa 4;40Mpira umeisha ikiwa zimebaki sekunde kadhaa kwenye ule muda wa kuongezwa
Imekatika katikaWazee wa mikeka nadhani kuna kitu mmejifunza
Umechana mkekaLitakuwepo tu
Una kichaa wewe masikini unaeishi Mbagala chamazi na wazazi wako wanaishi uyole.Yani ukisikia Africa tuna uzuzu ndio huo yani Rais wa Nchi A halafu mtoto Raia wa Nchi B.
Africa tuna laana sio bure
🤣🤣🤣🤣🤣Soccer vs football wametoka nguvu sawa.
Soccer =football .
BadoUingereza Qualified tayari
Muhimu maisha. Haya mambo ya uraia yameletwa na binadamu.Mungu alipoumba Dunia hakuweka mipaka. Sasa huyo Timothy Weah ana uraia wa nchi nne.USA,Jamaica,Liberia na France.Yani ukisikia Africa tuna uzuzu ndio huo yani Rais wa Nchi A halafu mtoto Raia wa Nchi B.
Africa tuna laana sio bure
Aaagh kweli bado. Kumbe Wales ana point moja. *****Bado
Mi ni mshabiki kiuzalendo sio kibiasharaUmechana mkeka
Na kesho ndio weekend, hela yote kaipitia muhindiImekatika katika
Group lao kila timu ina nafasi, mechi ya mwisho ikitokea wales kashinda atakua point 4 sawa na england, marekan nae akishinda atakua na 4. Gem za mwisho zitaamua hili groupAaagh kweli bado. Kumbe Wales ana point moja. *****
Hata Canada ni noma , ile match yao na Belgium ,Aiseee hawa US wanakaba mazee
Yani mshambuliaji akishika mpira wakimfata anaina sehemu salama ni kuurejesha nyuma
Nyie wauza drones hamna kituIran kwetu furaha [emoji91][emoji91]Muda wa kwenda club sasa