Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Bara la Africa nikama tulaana hivi.
Alafu usishangae aliye turoga keshatangulia mbinguni zanani sana, kwasasa ana jinywea zake Kvant taratiibu huku akitucheki tu tunavyo hangaika.

Wenda nikazeeka hivi hivi ama kufa kabisa, kabla hata timu moja kutoka Africa itakayo fika hata nusu fainali ya kumbe la Dunia.
 
Acha tu Mpaka sasa sioni timu itakayovuka hii stage

Huwenda miaka ya mbele huko vizazi vyetu

Sema ata sisi waafrika wengi ni wangese wangese tu [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…