Ndio hivyo aende atoe draw au afungwe ila tu goli wasikose kufungaHii nitaangalia bila stress. Hope itakuwa tamu. Though ninatamani Argentina atoke. Hii tu kwa sababu round ya pili France anaweza kutana na Argentina.
Hesgoal.com ingia hapoNaomba link ya kuangalia mechi Argentina vs Mexico?
Depal wakaka watamu wakoje, ufafanuzi tafadhali [emoji87][emoji38]Ila nyieeee [emoji1787][emoji1787]
Si niliwaambia me nashabikia penye chelsea na wakaka watamu kama wa France na Brazil
Sahiviii sijui nishabakie kwa huyi joti wa Ulaya
Piga kenge haoooo
AhahahhhPicha litakua hivi
Kipindi cha kwanza
Achezee za uso kwanza
View attachment 2428420
Kipindi cha pili
View attachment 2428422
Dakika za nyongeza akitafuta sare
Apigwe knockout
View attachment 2428423
Wanaonyesha wale jamaa wa ngonjera za mama samiaTbc wataonyesha hii?
Kumbe nawe hupendi kula kitimoto na kuja kujitafunia bikra 72 peponi? Daaah unakwama wapi ndugu [emoji848][emoji16]SIJAWAHI PENDA VITU VINAVYOPENDWA NA WENGI MEXICO TOA UYU MESI[emoji3577]
PoaHesgoal.com ingia hapo
Messi asipokuwepo nitashabikia, ila akiwepo tu basi shabikieni ninyi wenyewe [emoji3]Geography inasema bara la amerika kusini lilimeguka ubavuni mwa Afrika so sisi kama waafrika hatuna budi kuwasupport Argentina maana ni wa ubavu wetu
Hio Boraaa kaandika nani?
Una maana gani?
Umri ni namba na kamwe hazidanganyi Ndugu yangu [emoji847]Chicharitoooo huyu alikuwa wa moto
I second you,Messi asipokuwepo nitashabikia, ila akiwepo tu basi shabikieni ninyi wenyewe [emoji3]
NoTbc wataonyesha hii?
Kuwa serious basi kundi la Brazil na Argentina lipi gumu
Download app inaitwa football live tv uenjoy maisha KakaNaomba link ya kuangalia mechi Argentina vs Mexico?