Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hii nitaangalia bila stress. Hope itakuwa tamu. Though ninatamani Argentina atoke. Hii tu kwa sababu round ya pili France anaweza kutana na Argentina.
Ndio hivyo aende atoe draw au afungwe ila tu goli wasikose kufunga
 
Ila nyieeee [emoji1787][emoji1787]

Si niliwaambia me nashabikia penye chelsea na wakaka watamu kama wa France na Brazil

Sahiviii sijui nishabakie kwa huyi joti wa Ulaya
Depal wakaka watamu wakoje, ufafanuzi tafadhali [emoji87][emoji38]
 
Piga kenge haoooo

Picha litakua hivi

Kipindi cha kwanza
Achezee za uso kwanza

images (84).jpeg


Kipindi cha pili

images (85).jpeg


Dakika za nyongeza akitafuta sare
Apigwe knockout

200w.gif
 
Back
Top Bottom