BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Kwahiyo umefurahia Neymar kuumia au unafurahia kwamba hajaumia sana atarudi baada ya game 2?Mechi ya juzi aliumia ankle, taarifa za kitabibu na umbeya ndani yake zinadai jamaa huenda akakosa mechi mbili zijazo.
Leo amepost kwenye account yake ya instagram, picha inaonyesha muonekana wa ankle yake ilivyo kwa sasa
Oookay sawa na neno 'mama' halina mwenyeweBoraaa linatokana na neno embora kwa lugha ya kwao brazil kama nitakuwa sahihi.
Kwa maana isio rasmi ni sawa na kusema lets goo
Anapita kwa kumchapa Australia, asipomchapa inakula kwakeArudi bush akaendelee kukamua maziwa
Mi naangalia hela tu
Mexico moto pira unga pira mtutu pira Escabar jiniSioni Saudi akimpiga Mexico
Nimeweka taarifa kwa sababu tupo kwenye special thread inayohusu world cup.Kwahiyo umefurahia Neymar kuumia au unafurahia kwamba hajaumia sana atarudi baada ya game 2?
Yeah
Nani kakosaUnakosaje hapo
Reigning champion ya kwanza kwenda hatua ya 16 bora tangu mwaka 2006.France ana ticket ya moja kwa moja to the next stage
Mexico wako on fire π₯I keep my fingers crossed for Argentina (Messi to be particular )
ππππππ€π€π€π€π€π€π€π€
Kila mmoja anataka goliHii game ina pressure kubwa mnoo,