Jobless upo na hukuAbaki na Ballon D'or zake ambazo zingine za mchongo tu.
Mbappe yuko Form sana, ana akili ya kimchezo zaidi, yaan bila yeye france wangelikua wanashinda kwa ugumu sanaArgentina Messi akiwemo haijatutendea haki mashabiki wake kwenye kombe hili.
Speed hawana sjui ni uzee... yani Messi akikamata mpira hafiki nao popote ashapokonywa tofauti na France yani mbape pampja na kukbwa na maadui 3 pande zote bado akiukamata mpira anahakikisha anatoboa hadi kwenye 18 ibaki tu kumalizia.
Kuna style ya uchezaji naiona sana kwa France nao wanaijaribu ila bila umakini na kupoteza mpira...
Argentina hajatulia, labda wamepaniki kwa uhitaji mkubwa wa matokeo mazuri.
Mchezo ukiebda hivi, anaaga leo.
Walionekana kama 'tittle contenders' Ila kwa kiwango walichoonyesha sidhani kama hata watatoboa huko mbele kama watafanikiwa kupita kwenye kundi....Mna uhakika hii ni Argentina au manzese Argentina
Acheni uchawi mkuuBasi ni tatu mkuu elfu 10 alipola ya Wesley snejder yule wa uholanzi.
Mimi game za saa 1 na 4 usiku ndo huwa sizikosi, zile za saa 7 mara nyingi nakuwa job, huwa anacheki wife.Hakuna gem niliyokosa kombe hili
Labda lionel acheze mpira beyondArgentina [emoji1033] tupeni raha fans wenu basi team kubwa kama hii why mnatuweka roho juu juu?why?
Hawa wasaudi walaaniwe tuDah! Chama langu Argentina maji yapo shingoni! Wasaudi ndio wametuharibia hesabu aloo