Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina Messi akiwemo haijatutendea haki mashabiki wake kwenye kombe hili.

Speed hawana sjui ni uzee... yani Messi akikamata mpira hafiki nao popote ashapokonywa tofauti na France yani mbape pampja na kukbwa na maadui 3 pande zote bado akiukamata mpira anahakikisha anatoboa hadi kwenye 18 ibaki tu kumalizia.
Kuna style ya uchezaji naiona sana kwa France nao wanaijaribu ila bila umakini na kupoteza mpira...
 
Mbappe yuko Form sana, ana akili ya kimchezo zaidi, yaan bila yeye france wangelikua wanashinda kwa ugumu sana

Messi Umri
 
Argentina hajatulia, labda wamepaniki kwa uhitaji mkubwa wa matokeo mazuri.

Mchezo ukiebda hivi, anaaga leo.
Mna uhakika hii ni Argentina au manzese Argentina
Walionekana kama 'tittle contenders' Ila kwa kiwango walichoonyesha sidhani kama hata watatoboa huko mbele kama watafanikiwa kupita kwenye kundi....

Ila France, Spain, Brazil wana kitu wanatafuta
 
Back
Top Bottom