Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Argentina Messi akiwemo haijatutendea haki mashabiki wake kwenye kombe hili.
Speed hawana sjui ni uzee... yani Messi akikamata mpira hafiki nao popote ashapokonywa tofauti na France yani mbape pampja na kukbwa na maadui 3 pande zote bado akiukamata mpira anahakikisha anatoboa hadi kwenye 18 ibaki tu kumalizia.
Kuna style ya uchezaji naiona sana kwa France nao wanaijaribu ila bila umakini na kupoteza mpira...