Ujue nmepiga makelele,kua serious bana,umenichoresha nkajua kweliGooooooooooooal Mexico wamesawazisha
Hata me najua dkk ya 80 na tunarudsha,niko na wwDakk ya 82 wanasawazisha, niamini mimi. Babu yangu mganga
Me nlijua kweliiAmka usije jikojolea
Ndio hivyo wachambuzi wanakuambia form is temporary but class is permanentTwende mbele turudi nyuma, huyu andunje kafungaje apo?
😂😂😂Ujue nmepiga makelele,kua serious bana,umenichoresha nkajua kweli
Atakuwa anafurahi Argentina kupata goal ki moyo moyoKocha wa Mexico ni raia wa Argentina..
Gerrad tata martino
Kocha wa zamani wa barcelona
Mimi babu yangu ni kibarua Mgunda nishamwambia alizuie😜😜Dakk ya 82 wanasawazisha, niamini mimi. Babu yangu mganga
Kaandika akiwa ndotoni.Me nlijua kwelii
Masimango yakizidi Saudi Arabia walitupiga na kitu kizito kichwaniYani kumbe mashabiki wa Argentina mlikuwa wengi hiviiii...mlisubiri goal lije ndo mtokee?? Asee tumesimangwa sanaaa humu ni vile tu tuna roho za.paka