Unataka kusema nini?Kocha wa Mexico ni raia wa Argentina..
Gerrad tata martino
Kocha wa zamani wa barcelona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusema nini?Kocha wa Mexico ni raia wa Argentina..
Gerrad tata martino
Kocha wa zamani wa barcelona
Me piaMe nlijua kwelii
🤣🤣🤣Masimango yakizidi Saudi Arabia walitupiga na kitu kizito kichwani
Cjui kwanini kocha hamuingizi dybala 😠Walivosema kasawazisha wamenitisha aisee.
Jaman mlisema Mexico wanatulaza sasa mmehamia polland tenaArgentina watapigwa ndoige kali na Poland.
Kumbe ulikuwa unamaanisha dakika ya 86, wakati mwingine usitype na tecnoDakk ya 82 wanasawazisha, niamini mimi. Babu yangu mganga
Hatujakificha mkuu tupo ila confidence ilipungua🤣🤣🤣
Mkajificha sio shabiki wa kweli hajifichii
Kumbe huyu MTU kaitwa? Tatizo subs nahis chache pia Bora zingeongezwa zifike hata 5Cjui kwanini kocha hamuingizi dybala [emoji34]
Ni kawaida ya mfamaji, ikumbukwe kunguru hanenepi kwa jalala mojaJaman mlisema Mexico wanatulaza sasa mmehamia polland tena
Hahaha