Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema goli tamu kuliko la kwanzaKumbe ulikuwa unamaanisha dakika ya 86, wakati mwingine usitype na tecno
Ochoa katuangusha. Messi nataka watoke. Kwa sababu mimi ni team France. Wakipita tunaweza kutana nao round of 16.Jaman mlisema Mexico wanatulaza sasa mmehamia polland tena
Hahaha
Hapana Mesi alisahau kula nguruwe siku ileMuarabu aliwasomea albadili hawa Ajentina ama?
Messi kapindua mezaaaHatujakificha mkuu tupo ila confidence ilipungua
Ukiwauliza wachezaji wa Saudia mliwezaje kuwafunga Argentina watakujibu hawajui bali ni mpango wa Mungu.Muarabu aliwasomea albadili hawa Ajentina ama?
Me team france pia na Argentina...Ochoa katuangusha. Messi nataka watoke. Kwa sababu mimi ni team France. Wakipita tunaweza kutana nao round of 16.
Inavosemekana..watangaze ss sikukuu na keshooMuarabu aliwasomea albadili hawa Ajentina ama?
Wameongeza ama?Messi kapindua mezaaa
Ndo wajue Argentina team kubwa
Niliwwambia ile ilikuwa bahati tu kama zingineMuarabu aliwasomea albadili hawa Ajentina ama?
Yani najiuliza waliwezaje atiUkiwauliza wachezaji wa Saudia mliwezaje kuwafunga Argentina watakujibu hawajui bali ni mpango wa Mungu.
Ndio la piliWameongeza ama?
KweliArgentina hakuna timu hapa