Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani we kama mie nilishindwa kabisaaMsione kmy washabik wenzang wa LA Albiceleste kiukwl nilishindwa a angalia game hii nimewasha data game ilikua na presha.
Maneno yalikua mengi sana lkn tumeonesha kwnn sisi ni Mabingwa Wa South America na tulimfunga team yao pendwa kwao pale Brazil.
Vamonos [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]
Me ndio kijike na nusu niliweza kuhimili tambo na kebehi hapa uwanjani hadi ushindi umepatikanaMsione kmy washabik wenzang wa LA Albiceleste kiukwl nilishindwa a angalia game hii nimewasha data game ilikua na presha.
Maneno yalikua mengi sana lkn tumeonesha kwnn sisi ni Mabingwa Wa South America na tulimfunga team yao pendwa kwao pale Brazil.
Vamonos [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]
Mie jeeeLeo Argentina tungepoteza hii mechi sijui ningeishije kwenye Social media[emoji23]
Yan nilishindwa kbs asee huwez amin nikapotea hapa nikazima data nilikua na presha sio ya kawaida mYani we kama mie nilishindwa kabisaa
Hapa unapewa MOTM huku unamtizama anayekupa, Ila siku ile anapewa penaldo Kama hakuangalia pembeni sidhaniMessi Goal.
Messi Assist.
Messi GOAT.
Hahahahaha umetisha asee.. Mm ungenionea huruma Niko mwnyw lkn naongea mwnyw napiga kelel mwnyw [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Me ndio kijike na nusu niliweza kuhimili tambo na kebehi hapa uwanjani hadi ushindi umepatikana
Msijifiche jaman team arg
Yan kaka nilikua naogopa sijui ningeshambuliwa vipi leo na wadau.Leo Argentina tungepoteza hii mechi sijui ningeishije kwenye Social media[emoji23]
Piga keleleleeee tulizaraulika sanaaaHahahahaha umetisha asee.. Mm ungenionea huruma Niko mwnyw lkn naongea mwnyw napiga kelel mwnyw [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Poland atawatoa,mtalia kama watoto.Msione kmy washabik wenzang wa LA Albiceleste kiukwl nilishindwa a angalia game hii nimewasha data game ilikua na presha.
Maneno yalikua mengi sana lkn tumeonesha kwnn sisi ni Mabingwa Wa South America na tulimfunga team yao pendwa kwao pale Brazil.
Vamonos [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]
Si ya kukosa.Game ya Ajentina na Poland itakua ni ya kufa na kuzikana kabisa..
Hata Leo mliwaombea vibaya ila wametoboa...Argentina bora mtoke mapema tu mkifika robo fainal mtapigwa kwa aibu msiombe mkutane na hawa viumbe France,Brazil,Spain