Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Yani we kama mie nilishindwa kabisaa
 
Me ndio kijike na nusu niliweza kuhimili tambo na kebehi hapa uwanjani hadi ushindi umepatikana
Msijifiche jaman team arg
 
Argentina bora mtoke mapema tu mkifika robo fainal mtapigwa kwa aibu msiombe mkutane na hawa viumbe France,Brazil,Spain
 
Poland atawatoa,mtalia kama watoto.
 
Lewandowski ana hasira ya kupokonywa balloon dor na Messi
Sasa patachimbika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…