Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me wala sijalazimisha mtu ampende Messi au aipende Argentina
Ila nimewakumbusha tu mlivyotunyanyasaaa wakati ndo kwaaanza tumeanza
Dua njema na mm naomba ujue
Lapulga liwaachie akina Mbappe maana si kwa mbeleko ile ambayo alipaswa abebe balloon D'O Iniester na Lewandosky [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…