OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Iyo game ajentina mii naona anapigwa peupeTutajua tunasafirisha ama tunazika Qatar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo game ajentina mii naona anapigwa peupeTutajua tunasafirisha ama tunazika Qatar
Kuwa na adabu ww kijana Sema mtaani kwenu huko huko mxieeew [emoji34][emoji34]Dunia nzima ilikuwa inataka Argentina ishinde kwasababu ya Messi. View attachment 2428554View attachment 2428553View attachment 2428552
Wewe bado mtoto yako nepi.Argentina bora mtoke mapema tu mkifika robo fainal mtapigwa kwa aibu msiombe mkutane na hawa viumbe France,Brazil,Spain
Mliota ivo ivo endeleen kuota.Utazima data,ukiwasha utaona media zote Messi aaga mashindano.
Mexico anapigika kabisa...hana jipya huyuIyo game itakuwa ni ya moto sana maana Saudia akimpiga Mehico basi anafuzu
Muda utaongeaWewe bado mtoto yako nepi.
Mbona unalia mkuu vp ulimbetia mexico nini? Pole sana!Dunia yako we pekee na mkeo, na ukome kutusemea wengine, kenge wa bluu wewe [emoji57]
Mpira 90 na zile 10 za FIFA mkuuIyo game ajentina mii naona anapigwa peupe
Lapulga liwaachie akina Mbappe maana si kwa mbeleko ile ambayo alipaswa abebe balloon D'O Iniester na Lewandosky [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me wala sijalazimisha mtu ampende Messi au aipende Argentina
Ila nimewakumbusha tu mlivyotunyanyasaaa wakati ndo kwaaanza tumeanza
Dua njema na mm naomba ujue
Yaani wasaudi wapige mashuti ya mbali tu,Ochoa yule nimeona mashuti ya mbali yupo kama Aishi Manula.Iyo game itakuwa ni ya moto sana maana Saudia akimpiga Mehico basi anafuzu
Huyo ana makasiriko ukute mkeka umechanika😂😂😂Mbona unalia mkuu vp ulimbetia mexico nini? Pole sana!
Hapo umenena sawa 🙏🙏🙏😀😀😀18/12/2022 ndo anajua.
Ahahahha nomaBasi ni tatu mkuu elfu 10 alipola ya Wesley snejder yule wa uholanzi.
Niko mwenyewe labda kama huyo lia uko naye hapo na Miss wako [emoji1]Mbona unalia mkuu vp ulimbetia mexico nini? Pole sana!
Hata Ronaldo anafurahia Argentina kushinda maana bila Messi kwenye hili kombe la Dunia ni kama ligi kuu bila Simba.Kuwa na adabu ww kijana Sema mtaani kwenu huko huko mxieeew [emoji34][emoji34]
We nae husomeki kama K...mtu akiinama ipo kwa nyuma... akisimama ipo kwa mbele. Wewe si ulikuwa unaikandia arg wee?? Au kwakuwa amefunga? Kweli pata mafanikio uwajue watu🤣🤣😍Mexico anapigika kabisa...hana jipya huyu
Udhuzi (ushuzi)Poland atawatoa,mtalia kama watoto.
Nani atakae chukua sasa ?Mimi hapa
Endeleeni kujifariji na mikeka yenu, mmepiga bomu mochwari kwa timu isiyokuw na makali kabisa mbele kama Makolokolo FC [emoji16]Huyo ana makasiriko ukute mkeka umechanika[emoji23][emoji23][emoji23]