Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hivi Kwanini Kombe La Dunia Tangu lianze Last week Dakika Za Nyongeza Zinakuwa Nyingi sana Wastani wa Dakika 14 za Nyongeza kwa KilaMechi?

Ni utaratibu mpya wa FIFA
Utaratibu wa sasa wa FIFA kwa kuanzia mashindano haya ya 2022 kila dakika ambayo haikuchezwa mpira unawekwa kwenye nyongeza. Mfano muda unaopotea wakati wa mchezaji kuhudumiwa matibabu, kujigaragaza chini, wakati wa kupiga kona muda unapoteaga pale, wakati wa kupiga free kick muda pia unapoteaga pale, mchezaji kapatwa na kizunguzungu, mara mchezaji kiatu kimemtoka, mara refa kasimamisha kwa sababu maalum mara mchezaji anaingia na kutoka mara mchezaji kachelewesha kurusha mpira. Tukio lolote linalofanya mpira usimame hata nusu dk, inaamishiwa kwenye dk za nyongeza. Hali hii inaendelea hata kama mchezo upo kwenye dk za nyongeza. FIFA wameamua hivi ili kuhakikisha kila senti ya mtazamaji wa mpira inatumika.
 
France wana Mbape kushoto na Dembele kulia, wale ni untoucheable. Unaeza kuta Mbape yuko kulia na Dermbele yuko kushoto. Dembele anatumia mguu wowote adui hajui atapiga mpira na mguu upi. Kilichowasibu leo Denmark ni hiyo. Leo walikuwa na bahati Giroud hakuwa kwenye form na Dembele alichoka mapema. wangenyeeshewa 5
 
Me ndio kijike na nusu niliweza kuhimili tambo na kebehi hapa uwanjani hadi ushindi umepatikana
Msijifiche jaman team arg
Tina atafungwa tu na Poland na Saudi atatoa droo.
Asanteni sana kwa kushiriki
 
Lionel MESSI.
 

Attachments

  • Screenshot_20221127-054107_Instagram.jpg
    195.1 KB · Views: 4
World Cup all time top scorers
  1. Miroslav Klose, Germany 16 goals
  2. Ronaldo Brazil 15 goals
  3. Gerd Müller Germany 14 goals
  4. Just Fontaine France 13 goals
  5. Pelé Brazil 12 goals
  6. Jürgen Klinsmann Germany 11 goals
  7. Sándor Kocsis Hungary 11 goals
  8. Gabriel Batistuta Argentina 10 goals
  9. Teófilo Cubillas Peru 10 goals
  10. Grzegorz Lato Poland 10 goals
  11. Gary Lineker England 10 goals
  12. Thomas Müller * Germany 10 goals
  13. Helmut Rahn Germany 10 goals
Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wanakuja kuonekana kwenye nafasi ya 20+ na vigoli vyao vinane (8)
Labda wataongeza

Kylian Mbape tayari ana goli 7 akiwa na umri wa miaka 23 na kwa WC mbili tu
Kashamzidi Legend wa France Thienry Henry ambaye ana goli sita kwa WC 4

 
Roger Milla ndiye mchezaji mzee kufunga magoli katika historia ya Worl Cup
mwaka 1990 akiwakilisha Cameron Milla alifunga magoli manne (mawili dhidi ya Romania na mawili mengine dhidi ya Colombia) akiwa na umri wa miaka 38 na baadaye mwaka 1994 alifunga tena goli dhidi ya Urusi akiwa na miaka 42.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…