computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,480
- 6,029
Vamoooossss Argentina [emoji1033]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji7]Messi my only tue love,[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Vipi bwana mtabiri mbona imepotea sjakuona dimbani dakika zinakaribia kuisha hvoo
Umenielewa sasa?
Umeshinda meno yote nje, 😁😁😁I keep my fingers crossed for Argentina (Messi to be particular )
🙏🙏🙏🙏🙏🤞🤞🤞🤞🤞🤞🤞🤞
Sijawahi ona refa aliyeenda kwenye monitor akaja na msimamo ule ule. Kama alikataa penalti kabla atakubali akishatoka kwenye monitor, kama alikubali penalti atakataa. Kama alitoa red akienda kwenye monitor ataifuta red and vice versaDaah Yan refa akienda kwny monitor tu jua tuta
Utaratibu wa sasa wa FIFA kwa kuanzia mashindano haya ya 2022 kila dakika ambayo haikuchezwa mpira unawekwa kwenye nyongeza. Mfano muda unaopotea wakati wa mchezaji kuhudumiwa matibabu, kujigaragaza chini, wakati wa kupiga kona muda unapoteaga pale, wakati wa kupiga free kick muda pia unapoteaga pale, mchezaji kapatwa na kizunguzungu, mara mchezaji kiatu kimemtoka, mara refa kasimamisha kwa sababu maalum mara mchezaji anaingia na kutoka mara mchezaji kachelewesha kurusha mpira. Tukio lolote linalofanya mpira usimame hata nusu dk, inaamishiwa kwenye dk za nyongeza. Hali hii inaendelea hata kama mchezo upo kwenye dk za nyongeza. FIFA wameamua hivi ili kuhakikisha kila senti ya mtazamaji wa mpira inatumika.Hivi Kwanini Kombe La Dunia Tangu lianze Last week Dakika Za Nyongeza Zinakuwa Nyingi sana Wastani wa Dakika 14 za Nyongeza kwa KilaMechi?
Ni utaratibu mpya wa FIFA
Ile penalti ilipigwa vizuri ila kipa aliuotea vizuri na pia shuti la mara ya pili aliucheza kipa. Pongezi zote kwa kipa wa PolandYani hawa Leo bahati sio yao yan hadi penat wamekosaa??
France wana Mbape kushoto na Dembele kulia, wale ni untoucheable. Unaeza kuta Mbape yuko kulia na Dermbele yuko kushoto. Dembele anatumia mguu wowote adui hajui atapiga mpira na mguu upi. Kilichowasibu leo Denmark ni hiyo. Leo walikuwa na bahati Giroud hakuwa kwenye form na Dembele alichoka mapema. wangenyeeshewa 5Argentina Messi akiwemo haijatutendea haki mashabiki wake kwenye kombe hili.
Speed hawana sjui ni uzee... yani Messi akikamata mpira hafiki nao popote ashapokonywa tofauti na France yani mbape pampja na kukbwa na maadui 3 pande zote bado akiukamata mpira anahakikisha anatoboa hadi kwenye 18 ibaki tu kumalizia.
Kuna style ya uchezaji naiona sana kwa France nao wanaijaribu ila bila umakini na kupoteza mpira...
Na utashangaa 2023 atabeba tena Balon D'orPuuuuuuu
Hovyo kabisa Lionel
Tina atafungwa tu na Poland na Saudi atatoa droo.Me ndio kijike na nusu niliweza kuhimili tambo na kebehi hapa uwanjani hadi ushindi umepatikana
Msijifiche jaman team arg
Argentina apigweee
Hii nitaangalia bila stress. Hope itakuwa tamu. Though ninatamani Argentina atoke. Hii tu kwa sababu round ya pili France anaweza kutana na Argentina.
SIJAWAHI PENDA VITU VINAVYOPENDWA NA WENGI MEXICO TOA UYU MESI[emoji3577]