Akiwa na 22 alipata Baloon d'or ya kwanza, hiyo ya tatu aliipataje akiwa na 23. Najua alifululiza nne ila sio akiwa na 23
2009 alikuwa na 22 Balon d'or ya kwanza
2010 alikuwa na 23 Balon d'or ya pili
2011 alikuwa na 24 Balon d'or ya tatu
2012 alikuwa na 25 Balon d'or ya nne
Kuhusu Mbape nilikuwa nazungumzia ufungaji wa magoli, hii ya Balon D'or kwa Mbape itakuja tu ofcourse akiendelea kuwa PSG anaweza asipate kama za Messi au Ronaldo
Kila mtu ana nafasi yake lakini kwa kigezo kimoja iko kumlinganisha mbape na yule mzee(messi) ni kama insults, yule ni legend apewe heshima yake na alivyovifanya vipo ambavyo kamwe mbape hatofanya, kama vile
Goli 51 kwa msimu mmoja la liga
Goli 91 kwa mwaka
Even being a greatest of the all time
Balloon d or saba
Pia kumbuka hata yeye sio center striker kama mbape ila he can score, dribble, assist, free kick
Haya tayari akiwa 23 alikuwa na balloon d or mbili ila mbape ndio hivyo tena
Pia usisahau kwa ubora wa national team France ipo vizuri sana kuliko Argentina so kwa vile mbape ni mchezaji mzuri inamsaidia kufanya vizuri zaidi, have you ever imagined messi angekuwa Spain? Au hata hapo France??? Bila shaka namba zake zingekuwa juu zaidi
Pindi wanachukua copa America, messi alihusika kwenye kila goli walilofunga Argentina, kama hakufunga yeye basi Ali assist, alikuwa man of the match game za kutosha pia alikuwa ndio mfungaji bora na mchezaji bora unaweza ona anavyotegemewa na wale vibonde wa Argentina na anavyoibeba kuliko hata mbape anavyotegemewa France naweza sema
All in all mbape ni talented kama alivyo messi na ni bora sana sema ndivyo hivyo lazima tuzidiane ili maisha yaendee