vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Tabasamu limebaki
Tutaondoka na tabasamu kaliii kama la huyu dada wa dstv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutaondoka na tabasamu kaliii kama la huyu dada wa dstv
Taarifa nlizopata kutoka vyanzo vya kuaminika ni kwamba
ARGENTINA wataondoka Qatar kesho saa 12 asubuhi kurudi kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Atatandikwa
Kwa hii morali waliyonayo Mexico naona kabisa Argentina Safar YA kwao inanukia.
Ikishinda Argentina nahamia CCM
Tunaoangalia mechi kwa hisani ya tbc saizi hatuna chetu ......tukalale tu
Sina chuki na Messi ila nawaombea Saudi Arabia watoboe ni ndugu zetu
Ujue nmepiga makelele,kua serious bana,umenichoresha nkajua kweli
Msione kmy washabik wenzang wa LA Albiceleste kiukwl nilishindwa a angalia game hii nimewasha data game ilikua na presha.
Maneno yalikua mengi sana lkn tumeonesha kwnn sisi ni Mabingwa Wa South America na tulimfunga team yao pendwa kwao pale Brazil.
Vamonos [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]
Hata huyo m Poland anapigwa tu...si tuko hapa mkuu
Messi, Messier,GOAT[emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 2428575
@lembu usisahau pia messi kipindi yupo age ya 23 alikuwa na balloon d or tatu mkononi na uefa kitu ambacho mbape ndio kishampita tayari kwenye hiyo age...World Cup all time top scorers
Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wanakuja kuonekana kwenye nafasi ya 20+ na vigoli vyao vinane (8)
- Miroslav Klose, Germany 16 goals
- Ronaldo Brazil 15 goals
- Gerd Müller Germany 14 goals
- Just Fontaine France 13 goals
- Pelé Brazil 12 goals
- Jürgen Klinsmann Germany 11 goals
- Sándor Kocsis Hungary 11 goals
- Gabriel Batistuta Argentina 10 goals
- Teófilo Cubillas Peru 10 goals
- Grzegorz Lato Poland 10 goals
- Gary Lineker England 10 goals
- Thomas Müller * Germany 10 goals
- Helmut Rahn Germany 10 goals
Labda wataongeza
Kylian Mbape tayari ana goli 7 akiwa na umri wa miaka 23 na kwa WC mbili tu
Kashamzidi Legend wa France Thienry Henry ambaye ana goli sita kwa WC 4
View attachment 2428625
Akiwa na 22 alipata Baloon d'or ya kwanza, hiyo ya tatu aliipataje akiwa na 23. Najua alifululiza nne ila sio akiwa na 23@lembu usisahau pia messi kipindi yupo age ya 23 alikuwa na balloon d or tatu mkononi na uefa kitu ambacho mbape ndio kishampita tayari kwenye hiyo age...
Uko ndokuna mehuCcm hatutaki wajinga
Kila mtu ana nafasi yake lakini kwa kigezo kimoja iko kumlinganisha mbape na yule mzee(messi) ni kama insults, yule ni legend apewe heshima yake na alivyovifanya vipo ambavyo kamwe mbape hatofanya, kama vileAkiwa na 22 alipata Baloon d'or ya kwanza, hiyo ya tatu aliipataje akiwa na 23. Najua alifululiza nne ila sio akiwa na 23
2009 alikuwa na 22 Balon d'or ya kwanza
2010 alikuwa na 23 Balon d'or ya pili
2011 alikuwa na 24 Balon d'or ya tatu
2012 alikuwa na 25 Balon d'or ya nne
Kuhusu Mbape nilikuwa nazungumzia ufungaji wa magoli, hii ya Balon D'or kwa Mbape itakuja tu ofcourse akiendelea kuwa PSG anaweza asipate kama za Messi au Ronaldo