Betpawa ndo nyepesi kutumiaNipe site ya kubeti sasa
Maana hata sijui hizo sijui m-bet sijui Moja bet.
Nabeti kuanzia kesho.
Maeneo yetu upo, ila kesho watakata mapema sanaTz nzima sjui
Yes mkuuCanada kumbe leo ndo wamefunga goli lao la kwanza kwenye Kombe la Dunia
Mechi gani tena hiyo. Ah wee kweli unataka tz iendenworld cup sii tutaharibu mashindano ya watu
Akahakikishe kwanza anajua ball🤣🤣🤣🤣🤣
Na uraia tukamsaidia
NaamCanada wanachezaje wakuu? Mi naona watapigwa nyingi japo wanaongoza
Mbona kuna nchi ulaya hazijui mfano ubeligiji[emoji2960]Labda huwa wanawaona jinsi wanavyopasha misuli na wenyewe wanaiga [emoji16][emoji23][emoji23]
👊Tayari 36,000 imeingia mfuko wa shati kama faida
Embu tuoneTayari 36,000 imeingia mfuko wa shati kama faida