Wamekata umeme?Hivi hii nchi kuna wakati itafika haina matatizo ya kujitakia kama hata ya maji na u.eme??
Kweli nimeona sahihiMatokeo yakibaki hivi hivi Morocco amefuvu kwasababu mechi ya mwisho ni Croatia vs Belgium.View attachment 2429273
Mwacheni nyota wetu 😆 😆 😆
Sidhani maana Embolo sio mweupe wala alieiua goli la pili Senegal hakuwa muafghanShida ni ngozi
Mechi za mwisho ndizo zitaamuaKweli nimeona sahihi
Si kweli sababu Belgium [emoji1045] inategemea atashinda ngapi vs Croatia [emoji1082] na Morocco [emoji1173] result yake vs Canada [emoji1063] itakuwaje but kwa table hii Morocco [emoji1173] ana asilimia 80 ya kufuzuMatokeo yakibaki hivi hivi Morocco amefuvu kwasababu mechi ya mwisho ni Croatia vs Belgium.View attachment 2429273
Maximo alitoa Usimba na Uyanga, wachezaji wake alikua anatoa nje, Mtibwa na timu ndogo, Simba na Yanga anaongezea tu tena wenye nidhamu. Enzi hizo kina Meki Mexime, Nditi, Nizar Khalfan, Bocco, Henry Joseph etc core nzima ya Timu ilikuwa sio simba na yanga.Kiukweli kipindi hicho tulikuwa seriously sijui kitu gani kiliingia hapo kati , tungeluendelea na ule moto tungekuwa mbali sana , vizazi hico bhasi tu havijaacha warithi wa kweli
Kweli kabisa ..hizi timu za biashara za jiji zimechangia saja kuharibu timu ya taifaMaximo alitoa Usimba na Uyanga, wachezaji wake alikua anatoa nje, Mtibwa na timu ndogo, Simba na Yanga anaongezea tu tena wenye nidhamu. Enzi hizo kina Meki Mexime, Nditi, Nizar Khalfan, Bocco, Henry Joseph etc core nzima ya Timu ilikuwa sio simba na yanga.
Asilimia 99 mkuu, maana Belgium akimfunga Croatia goal difference itazidi kuwa kubwa, itabidi ili Morocco atoke Canada amfunge Morocco goli za Kutosha.Si kweli sababu Belgium [emoji1045] inategemea atashinda ngapi vs Croatia [emoji1082] na Morocco [emoji1173] result yake vs Canada [emoji1063] itakuwaje but kwa table hii Morocco [emoji1173] ana asilimia 80 ya kufuzu
Belgium kwa sasa anahitaji ushindi huku Croatia na Morocco wakihitaji sare
Moroco atatoa drawAsilimia 99 mkuu, maana Belgium akimfunga Croatia goal difference itazidi kuwa kubwa, itabidi ili Morocco atoke Canada amfunge Morocco goli za Kutosha.
Huku bado Canada wanashambulia3 for Croatia
🤣🤣🤣🤣🤣Huku bado Canada wanashambulia
[emoji16]Una kichaa ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]